mr altitude
Member
- Jul 23, 2016
- 96
- 59
Makapuku forum na sisi pia tumo
Duh watu wanarekodi za matukio mabaya kuliko hata HitlerThe Brazen Bull
View attachment 371454
Hii ilifanyika zaid huko sicily na ugiriki ya zamani
Mtu alichukuliwa na kuwekwa ndani ya ngombe wa chuma, mwenye tumbo la bati
Moto uliwashwa chini kabisa ya tumbo hilo la ngombe wa bati, then bati linavo zidi kupata moto mtu alikuwa aki rostiwa na kulia kwa maumivu makaliii sanaa
Lakini kwa walio kuwa nje kwao haiku wasumbua kwani sauti ya maumivu ilikuwa ikisikika kama sauti ya ngombe au muungurumo wa mnyama hivo mtu alifariki kwa maumivu makaliii na kwa ku rostiwa mpaka akate roho lakin kwa walio nje ilikuwa ni burudani tosha
JichanganyeMakapuku forum na sisi pia tumo
The Brazen Bull
View attachment 371454
Hii ilifanyika zaid huko sicily na ugiriki ya zamani
Mtu alichukuliwa na kuwekwa ndani ya ngombe wa chuma, mwenye tumbo la bati
Moto uliwashwa chini kabisa ya tumbo hilo la ngombe wa bati, then bati linavo zidi kupata moto mtu alikuwa aki rostiwa na kulia kwa maumivu makaliii sanaa
Lakini kwa walio kuwa nje kwao haiku wasumbua kwani sauti ya maumivu ilikuwa ikisikika kama sauti ya ngombe au muungurumo wa mnyama hivo mtu alifariki kwa maumivu makaliii na kwa ku rostiwa mpaka akate roho lakin kwa walio nje ilikuwa ni burudani tosha
The Tub
View attachment 371448
Hii ilikuwa wana mchukua mtuhumiwa /mateka/ mtu yeyote alo kosa au kuvunja sheria
Wala muweka kwnye hiyo kitu ambayo ilichongwa kwa mbao tuu na kubakiza kichwa chake tuu ambapo wali mpaka usoni maziwa na asali pia walimlisha kila siku, hivo nzi wali mlamba uso wake na sukari na maziwa vlivo zidi kuganda vili mfanya mtu huyo aoze akiwa mzima
Then kwakuwa hakuwa akienda chooni bacteria na wadudu walo tokana na kinyesi chake walikuwa wakimshambulia pia kwa upande wa chini alioza, so hii ili chukua mawiki kadhaa kwa mtu huyo kufa
Impalement
View attachment 371461 hii ilitumiwa na Vlad the Impaler. Karne ya 15 huko Romania; watu wali kuwa wana kamatwa halafu wana ambiwa wakalie miti ilo chongwa kwa juu na hiyo huwachoma, hii huchukua mpaka siku tatu kwa muhanga kufa na bwana vlad aliwahi kuwa ua watu zaid ya 20,000 kwa siku moja huku mwenye akipga luch kama anavo onekana kwenye picha
Heretics Fork
View attachment 371465
Kama muonavyo kwa picha hapo mtu aliwekewa hiyo kitu kama uma pande zote na hii na alifungiwa shingoni na alifungwa juu ya mti mfupi au tuu alisima mishwa sehem, ilikuwa ni njia ya mateso kwani haikutakiwa mtu asinzie na siku ambayo alichoka na kuiachia shingo lazima atoboke koo na kidevu na kufa
Neck Torture
View attachment 371470
Hii ilikuwa ni ya kumtesa tuu mtu, kwani alivalishwa mfano wa miiba ya mbao au ya chuma hii ilimfanya tuu mtu asikae comfortably wala asile wala asilale na kwa siku kadha kama asipo tolewa hufa kwa njaa au mengneyo
Huu sasa ni ugaidiThe Tub
View attachment 371448
Hii ilikuwa wana mchukua mtuhumiwa /mateka/ mtu yeyote alo kosa au kuvunja sheria
Wala muweka kwnye hiyo kitu ambayo ilichongwa kwa mbao tuu na kubakiza kichwa chake tuu ambapo wali mpaka usoni maziwa na asali pia walimlisha kila siku, hivo nzi wali mlamba uso wake na sukari na maziwa vlivo zidi kuganda vili mfanya mtu huyo aoze akiwa mzima
Then kwakuwa hakuwa akienda chooni bacteria na wadudu walo tokana na kinyesi chake walikuwa wakimshambulia pia kwa upande wa chini alioza, so hii ili chukua mawiki kadhaa kwa mtu huyo kufa
Hii dunia ni zaidi ya tunavyoijuaHeretics Fork
View attachment 371465
Kama muonavyo kwa picha hapo mtu aliwekewa hiyo kitu kama uma pande zote na hii na alifungiwa shingoni na alifungwa juu ya mti mfupi au tuu alisima mishwa sehem, ilikuwa ni njia ya mateso kwani haikutakiwa mtu asinzie na siku ambayo alichoka na kuiachia shingo lazima atoboke koo na kidevu na kufa
KudadadadadekThe Tub