The Brazen Bull
View attachment 371454
Hii ilifanyika zaid huko sicily na ugiriki ya zamani
Mtu alichukuliwa na kuwekwa ndani ya ngombe wa chuma, mwenye tumbo la bati
Moto uliwashwa chini kabisa ya tumbo hilo la ngombe wa bati, then bati linavo zidi kupata moto mtu alikuwa aki rostiwa na kulia kwa maumivu makaliii sanaa
Lakini kwa walio kuwa nje kwao haiku wasumbua kwani sauti ya maumivu ilikuwa ikisikika kama sauti ya ngombe au muungurumo wa mnyama hivo mtu alifariki kwa maumivu makaliii na kwa ku rostiwa mpaka akate roho lakin kwa walio nje ilikuwa ni burudani tosha