Makapuku Forum

Makapuku Forum

1469543081372.jpg
 
Eeeh! Siku moja nimetouliaa Sehemu naskizia kibreezz! Mara akapita demu! toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10,000 nikaandika no. Zangu ( 07152000** ♡♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Nilisunyaaa !!! [emoji30] [emoji31] ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria ile namba ni ya yule Demu !! [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli hiyo ni shidaaa
 
Back
Top Bottom