Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Mkuu ujue una jiweka hatarin maisha yako, eb jitahid uwatafute wengine nenda kwa kina mss chaga na atoto huko
Ila jimena utapata tabu sana
Hili kweli zuzuZuzu alioa mke mwerevu sana.
Mara baada ya miezi minne na nusu mke aka zaa. Zuzu akazusha kweli:
Mume: Nitakupa talaka uende kwenu. Utazaaje mtoto baada ya miezi minne na nusu. Kwani ni kuku wa kizungu![emoji15]
Mke: Mswalie mtume mume wangu, hebu kaa chini tufanye hisabu.
Wewe tangu unioe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu tu!
Mke: Na mimi tangu niolewe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu!
Mke: Sasa "nne na nusu na nne na nusu"total ni miezi mingapi?
Mume: Loooooo sorry darling, wallahi nilikua nisha kudhania vibaya.
Loooohhhh...... [emoji125][emoji125][emoji125]
Zuzu alioa mke mwerevu sana.

[emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hizi imani hizi mbaya sana, na wewe umemwamini kabisa
Bila ubishi kabisaHili kweli zuzu
Zuzu amezuzukaUuuuwiii...Zuzu chenga sana!
Weka@zen jina lake bila kuruka nafasi mfano @ Bitoz lkn usiache hiyo nafasi nimeweka km mfanowakuu samahani, naomben mmoja anielez jinsi gani ya kumtag mtu inanitatiza sana
Fix hizo nduguMkuu nakuona katika ubora wa hali ya juu [emoji3] !.
WaitingTop 10 zina tokota jikoni
Zuzu alioa mke mwerevu sana.
Mara baada ya miezi minne na nusu mke aka zaa. Zuzu akazusha kweli:
Mume: Nitakupa talaka uende kwenu. Utazaaje mtoto baada ya miezi minne na nusu. Kwani ni kuku wa kizungu![emoji15]
Mke: Mswalie mtume mume wangu, hebu kaa chini tufanye hisabu.
Wewe tangu unioe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu tu!
Mke: Na mimi tangu niolewe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu!
Mke: Sasa "nne na nusu na nne na nusu"total ni miezi mingapi?
Mume: Loooooo sorry darling, wallahi nilikua nisha kudhania vibaya.
Loooohhhh...... [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]