Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hivi ulipotelea wapi?Hamjambo Makapuku
Hivi ulipotelea wapi?Hamjambo Makapuku
Mkutano mkuu wa fisiem. Picha zimetosha sasaMimi sio FISIEMU....bali nimeleta picha za mkutano mkuu
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
RespectedMkutano mkuu wa fisiem. Picha zimetosha sasa
Ha ha ha pandagichiza nipo bana tunavuna pambaSie hatujambo kabisa, hivi bado upo kule kindagi nini sijui...??
Yah hukohuko, nimemis togwa aisee zinapatikana huko?Ha ha ha pandagichiza nipo bana tunavuna pamba
Apumzike kwa amaniRIP. Nadhani huyu jamaa alileta mapinduzi makubwa kwa kuleta vipimo vinavyosaidia kwenye mahospital.
Pamoja sana!!Asante sana Mussolin5 historia leo ilishiba kwa habari moto moto
Kuna walakini, yaani wanaotenda mambi mazuri wanasahaulika.Halafu sijui kwanini, mtu anamuimba Escobar badala awaimbe watu waliofanya dunia inazidi kuwa bora
Umeona eeh mkuuAfu unakuta kuna watu wanajulikana kuliko hata huyu aliyefanya ugunduzi muhimu kabisa kama huu kwenye secta ya afya
Povu limemtoka tena povu la jikKwel nmeamini sisi ni masuper star hapa Jf.
Embu cheki hawa wanavyoweweseka na huu uwepo wetu hapaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hazeeki kabisa.Happy birthday J-Lo.
Brigedia wa Mgambo au?We si ulisema mjombako aliezaliwa na dada wa mama yako upande wa bibi mkubwa kwa babu wa tatu kule Chunya ni brigedia!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Sungu sunguWa kk![]()
![]()
![]()
Kabisa kabisaKuna walakini, yaani wanaotenda mambi mazuri wanasahaulika.
Peace and loveRespected
![]()
![]()
![]()
..................
Nitumie kidogo nna shida nayoHa ha ha pandagichiza nipo bana tunavuna pamba
