Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nyie Leo mmeamuaAmesali ibaada ya kwanza, saa 12 asubuhi
Nyie Leo mmeamuaAmesali ibaada ya kwanza, saa 12 asubuhi
Hahaha..wanapimwa kiasi cha uaminifu wao..Huu sasa uchoyo
Niko poa mkuuSanaa, sijui upande wako...
Sio vyema kumsimanga mtu sababu ya chakulaHahaha..wanapimwa kiasi cha uaminifu wao..![]()
Niko poa mkuu
Usinilishe maneno we Pimbi Pokwa wa KicongoWe si ulisema mjombako aliezaliwa na dada wa mama yako upande wa bibi mkubwa kwa babu wa tatu kule Chunya ni brigedia!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kabisaLikes walikuwa hawatoi hata ukiongea point, ila wao kwa wao hata pumba ma-like kibao!!!....mapinduzi yametokea wanaweweseka!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni njema sana mkuu, vipi pande hizo?Naona jumapili imeanza vizuri kabisa..
Kumbee! Kweli Shetani ametamalakiKwasababu hakugundua kitu cha anasa
Hayo mapicha ya Fisiem yanakeraaaa sana kwa sisi tusio wafuasi wa huko
Hivi huo mkutano hauishi tu watu tuendelee na mambo mengine
Sijui ninukuu kile kingereza cha you can't give what..........![]()
![]()
![]()
Mimi sio FISIEMU....bali nimeleta picha za mkutano mkuuHayo mapicha ya Fisiem yanakeraaaa sana kwa sisi tusio wafuasi wa huko
Hivi huo mkutano hauishi tu watu tuendelee na mambo mengine
Sijui ninukuu kile kingereza cha you can't give what..........![]()
![]()
![]()
Sie hatujambo kabisa, hivi bado upo kule kindagi nini sijui...??Hamjambo Makapuku