Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
ni wa kupuuzwaView attachment 370217
Haters hawakosi neno
Achana na vijino pembe wauza sambusa na mapapai
Bundle hawatuwekei wao sijui kwanini makalio ganawawashawasha daily
.............
Yuko njema sanaaahuyo bibi hazeeki aisee, bado anamvuto kabisa
Mzima wewe!Sasa hivi nayaweka. Morning all
Hili paka langu ndo naendaga kuwazinguaga nao hawa hatersView attachment 370217
Haters hawakosi neno
Achana na vijino pembe wauza sambusa na mapapai
Bundle hawatuwekei wao sijui kwanini makalio yanawawashawasha daily
.............
Kwel nmeamini sisi ni masuper star hapa Jf.ni wa kupuuzwa
Asante kwa kuleta magazeti madam, ubarikiwe.View attachment 370139View attachment 370140
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa jonax na Riwaya nami nakusanya kila kilicho changu basi ili niweze kumpisha @mussolin 5 arithi kiti hiki. Nawatakia jumapili njema wote
Hahaaaaa....
Amesharudi tayari.Kweli atakuwa kanisani
Happy birthday J-Lo.Leo katika Historia:
1969 - Jenifer Lopez anazaliwa.
Ni mwanamuziki mashuhuri toka.nchini Marekani ambae pia hujulikana kama " J-Lo "
Sana yaniiAlikuwa beki katili sana katika ubora wake
Huyu nae alikuwa kichwa kwakweliLeo katika Historia:
2013 - Garry Davis anafariki dunia.
Alikuwa ni rubani maarufu toka nchini Marekani.
Ndiye aliyeanzisha Mfumo wa kutumia Passport unapotoka nchi moja kwenda nyingine.
RIP. Nadhani huyu jamaa alileta mapinduzi makubwa kwa kuleta vipimo vinavyosaidia kwenye mahospital.Leo katika Historia:
2012 - Robert Ledley anafariki Dunia.
Ni mgunduzi wa kifaa cha Ct Scan toka nchini Marekani.
Wanasiasa ni wanafiki sanaHuyu si alikuaga CDM kwa mamvi huyu??? Khaaa!
Kweli mazoezi yanalipaHuwa hazeeki huyu mama!!
Halafu sijui kwanini, mtu anamuimba Escobar badala awaimbe watu waliofanya dunia inazidi kuwa boraHawa ndiomashujaa wasioimbwa!!
Karibu.Am a new here.