Mwanariadha mwenye kasi zaidi Duniani anayeshikilia ubingwa wa Dunia na ule wa Olympic Usain Bolt,bado hajakata tamaa ya kuitumikia Manchester United.
Bolt amejisifu kuwa anajua kucheza soka na anauweza kwa kiasi kikubwa sana, isipokuwa riadha ilimtoa mapema.
Je akisajiliwa Manchester United atacheza no? Au atakuwa anakimbia kimbia tu?
Cc,jimena, bitoz