Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,941 Mussolin5 said: Duuh...hongera zako Click to expand... Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbali
Mussolin5 said: Duuh...hongera zako Click to expand... Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbali
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 22, 2016 #71,942 Jimena said: View attachment 369416 72K katika ubora wake Click to expand... Vingongo Forum bado wanaitafuta 1k japokuwa wanaitana tu majina .........
Jimena said: View attachment 369416 72K katika ubora wake Click to expand... Vingongo Forum bado wanaitafuta 1k japokuwa wanaitana tu majina .........
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,943 QUIGLEY said: Hakuwa na mb Click to expand... Inabidi akeshe hapa maana ndio sehemu pekee anayoweza pata mb bure
QUIGLEY said: Hakuwa na mb Click to expand... Inabidi akeshe hapa maana ndio sehemu pekee anayoweza pata mb bure
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,944 EMMYGUY said: Ni nzuri sana madam. Maisha vipi? Click to expand... Yako sawa, naona umeadimika kweli kweli
EMMYGUY said: Ni nzuri sana madam. Maisha vipi? Click to expand... Yako sawa, naona umeadimika kweli kweli
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jul 22, 2016 #71,945 QUIGLEY said: Mwana mpotevu Click to expand... Nambie kaka. Mzima wewe?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jul 22, 2016 #71,946 Jimena said: Yako sawa, naona umeadimika kweli kweli Click to expand... Kazi zinabana hadi nakosa mda wa kuingia huku, lakini naamini tuko pamoja madam.
Jimena said: Yako sawa, naona umeadimika kweli kweli Click to expand... Kazi zinabana hadi nakosa mda wa kuingia huku, lakini naamini tuko pamoja madam.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 22, 2016 #71,947 Jimena said: Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbali Click to expand... ukajilia pweza gizani
Jimena said: Asante sana... Niliona golini hakuna watu hivyo sikucheza mbali Click to expand... ukajilia pweza gizani
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,949 Mussolin5 said: ukajilia pweza gizani Click to expand... Haswaaaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,950 Bitoz said: View attachment 369423 Click to expand... Go Go Go Simbaaaaaa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jul 22, 2016 #71,951 EMMYGUY said: Nambie kaka. Mzima wewe? Click to expand... Salama mkuu
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 22, 2016 #71,952 Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7. Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14 Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!!
Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7. Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14 Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!!
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Jul 22, 2016 #71,953
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 22, 2016 #71,954 EMMYGUY said: Habari ya usiku huu Wapendwa team Makapuku! Click to expand... Nzuri mkuu,vp weekend
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Jul 22, 2016 #71,955 Jimena said: View attachment 369412 Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 22, 2016 #71,956 Bitoz said: View attachment 369418Vingongo Forum bado wanaitafuta 1k japokuwa wanaitana tu majina ......... Click to expand... Tumewapoteza Vibaya sana,tunapanda kitonga, wao wanaitafuta kibamba, hapo wapi na wapi
Bitoz said: View attachment 369418Vingongo Forum bado wanaitafuta 1k japokuwa wanaitana tu majina ......... Click to expand... Tumewapoteza Vibaya sana,tunapanda kitonga, wao wanaitafuta kibamba, hapo wapi na wapi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 22, 2016 #71,957 Jimena said: We ni ase8 wewe au unehama timu siku hizi? Click to expand... Walikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st eleven
Jimena said: We ni ase8 wewe au unehama timu siku hizi? Click to expand... Walikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st eleven
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,958 shululu said: Walikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st eleven Click to expand... Ha ha
shululu said: Walikuwa wanalalamika kuwa,kwa nini wameruhusu magori mengi? Sasa ili ubishi uishe 1st eleven Click to expand... Ha ha
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,959 werrason said: Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 22, 2016 #71,960 Mussolin5 said: Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7. Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14 Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!! Click to expand... Hivi tofauti na shule hizi hesabu huwa mnazitumia wapi katika maisha ya kawaida??
Mussolin5 said: Kwa sisi wana hisabati leo ni Tarehe 22 mwezi wa 7. Yaani ni siku ya pai Duniani 22/7 = 3.14 Wana mahesabu wenzangu mmenipata nadhani, wale wa Arts mnisamehe!! Click to expand... Hivi tofauti na shule hizi hesabu huwa mnazitumia wapi katika maisha ya kawaida??