Mbona mapema au vuguvugu la vyeti feki limekukaba
........
Sijiskii poa sana ndugu, nna kijihoma hapa nataka niwah kupumzikaMuda huu?
Je naruhusiwa kuleta riwaya mida huu?Nadhani 15
Pole na pumzika tu naimani kesho utakuwa sawa
Hawanipati hao, shughuli zangu haziusishi vyeti
Sijiskii poa sana ndugu, nna kijihoma hapa nataka niwah kipumzika
R I P SokoineNUKUU NO 2# . . Viongozi hawana budi kuamua ni upande gani wanaosimamia na kama wapo upande wa wafanyakazi na wakulima, hawawezi kujiweka kando katika shughuli za wananchi, haya yalisemwa na Edward Sokoine, Dec 1971 katika mkutano wa TANU dar es salaam,. Mkutano uliitishwa na viongozi wa Chama hicho kuwashukuru wafanyakazi walioshiliki sherehe ya miaka kumi ya Uhuru wa Tanganyika. Kwa wakati huo, Sokoine ambaye amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania, alikuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais. Sokoine alizaliwa Agosti 1,1938 na kufariki Dunia April 12,1984
Mi nauza genge wala sina presha
Hawanipati hao, shughuli zangu haziusishi vyeti
Sijiskii poa sana ndugu, nna kijihoma hapa nataka niwah kupumzika
Asante sana kwa nukuu ya leo mkuuKufikia hapo Sina la ziada, nukuu ya leo imeletwa kwenu kwa hisani ya jf
Bila shakaJe naruhusiwa kuleta riwaya mida huu?
Aksante bibie, ubarikiwePole na pumzika tu naimani kesho utakuwa sawa
Pamoja sanaAsante sana kwa nukuu ya leo mkuu
Hahahaha wala hatuchekani, tuko kwenye same boat... Usiku mwema piaMi nauza genge wala sina presha
Pole
Usiku mwema
........
Asante na kwako piaGud nyt wakuu nme wamiss nadhan kesho au kesho kutwa ntakuwepo full time hapa
Nawaaminia wana family
Kama kawaida zije 5 katika ubora wakePoa poa na hivi hakuwepo akushushie episode zote tano kwa mpigo.. Enjoy
Yan inabidi utuandalie top 50 kabisa ukijaGud nyt wakuu nme wamiss nadhan kesho au kesho kutwa ntakuwepo full time hapa
Nawaaminia wana family
HahahahaYan inabidi utuandalie top 50 kabisa ukija
Nite