Makapuku Forum

R I P Bruce Lee hivi ndo huyu alikufa wakati wanaigiza?
Kifo chake ni moja ya vifo tata vilivyowahi kutokea Duniani.

Kuna wanaoamini aliuwawa kwa sumu kuna wanaoamini alikufa kifo cha kawaida.

Inasemekana alitumia mara kwa mara vidonge vya kupunguza maumivu na ndio ambavyo vilimletea Madhara.

Alikufa akiwa usingizini akijiandaa kushoot movie yake ya Game of Death.

Mwanae Brandon Lee alipojaribu kwenda Hongkong kuchunguza kifo cha baba yake aliporudi Marekani akauwawa kabla hajatoa ripoti yake ya uchunguzi.

Aliuwawa kwa kupigwa risasi wakati wanashoot movie yake ya " The crow "
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…