Makapuku Forum

Naisubiri hiyo mbinu, nami naingia chimbo kwa mfadhili wangu anifadhili nisije poteza heshima ya jimena
Ha ha ha ha ha ha
Hatua ya kwanza usiweke ile namna ya kuingiza, pale utafanya kila mtu ajue kuwa ni vocha pia usiseme kama ni tigo au voda kwenye post ya namba za kuingiza,
Iwe namba tupu tu ili kwa mgeni asitambue kwa urahisi
Nikipata mbinu mpya ntakwambia bado naendelea kufikiria
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…