Makapuku Forum

Hehehe sa D ikiwa ufaulu wale wa A nao wasemeje
Unakuta ma-genious wanabishana wakisema swali limekosewa.
Lakii ww kwa umbulula wako hata hilo ukuliona na unaona liko sawa tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani siwafichi member wenzangu unakuta wenzako wanomba four figure lakini wewe unabaki umehamaki tu
Au na ww unaomba kama kuzuga uone kama na ww umo

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Tatizo la hesabu ni sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…