Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,306 Jimena said: Umenunua Boda Boda? Click to expand... Ya nini.... Naendesha gari la sugar mummy .............
Jimena said: Umenunua Boda Boda? Click to expand... Ya nini.... Naendesha gari la sugar mummy .............
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 18, 2016 #70,307 Bitoz said: Ya nini.... Naendesha gari la sugar mummy ............. Click to expand... Wow mnipege lift basi
Bitoz said: Ya nini.... Naendesha gari la sugar mummy ............. Click to expand... Wow mnipege lift basi
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jul 18, 2016 #70,308 Jimena said: Nadhani labda Afrika ndio ambako hiki kitu hiki sio cha kawaida Tunaamini ya kwamba mwili tu ndio ambao unakufa ila roho haifi hivyo tunafurahia siku aliyokuja duniani na kumtakia heri huko aliko Click to expand... Mimi sifanyi hivyo, kwasababu tuna wish kimwili.
Jimena said: Nadhani labda Afrika ndio ambako hiki kitu hiki sio cha kawaida Tunaamini ya kwamba mwili tu ndio ambao unakufa ila roho haifi hivyo tunafurahia siku aliyokuja duniani na kumtakia heri huko aliko Click to expand... Mimi sifanyi hivyo, kwasababu tuna wish kimwili.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jul 18, 2016 #70,309 Jimena said: Umenunua Boda Boda? Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,310 werrason said: Point Click to expand... Nahisi mkongo mwenzio .........
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 18, 2016 #70,311 werrason said: Mimi sifanyi hivyo, kwasababu tuna wish kimwili. Click to expand... Sawa kabisa nimekupata
werrason said: Mimi sifanyi hivyo, kwasababu tuna wish kimwili. Click to expand... Sawa kabisa nimekupata
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,312 Jimena said: Wow mnipege lift basi Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jul 18, 2016 #70,313 Bitoz said: Nahisi mkongo mwenzio ......... Click to expand... Kwani nini kazi ya Hela???
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 18, 2016 #70,314 Bitoz said: Click to expand... Yaishee
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,315 werrason said: Kwani nini kazi ya Hela??? Click to expand... Kununulia mkorogo ..........
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,233 Reaction score 68,262 Jul 18, 2016 #70,316 Bitoz said: Kununulia mkorogo .......... Click to expand... teh teh teh...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Jul 18, 2016 #70,317 Bitoz said: Kununulia mkorogo .......... Click to expand... Unaupenda mkologo ndugu Mwakitobile???
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,318 werrason said: Unaupenda mkologo ndugu Mwakitobile??? Click to expand... Mussolin5 said: teh teh teh... Click to expand... Wakongo ndo wapaka mikorogo (avatar yako inakusuta) Mi nipo km nilivyoumbwa situmii hiyo kitu(angalia mkono wangu niliyotuma) ............
werrason said: Unaupenda mkologo ndugu Mwakitobile??? Click to expand... Mussolin5 said: teh teh teh... Click to expand... Wakongo ndo wapaka mikorogo (avatar yako inakusuta) Mi nipo km nilivyoumbwa situmii hiyo kitu(angalia mkono wangu niliyotuma) ............
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,233 Reaction score 68,262 Jul 18, 2016 #70,319 Bitoz said: Huyu ndo mimi ......................... Click to expand... Naona unapiga mbege ya ilala
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 18, 2016 #70,320 Kumbe hakulipa kodi ili astarehe vizuri ...........