Makapuku Forum

Nawazaga hela, nataka niwe nazo mpaka niwe nawaza/fikiri mengine kama kuwapa misaada watu na sio kuwaibia au kugombania nao tena!!!

Kuna swali najiulizaga "Nikiwa na hela nyingi sana then NITAKUWANAWAZAGA NINI TENA???"
Ukishapata hela nyingi sana utaanza kuwazia security yako binafsi na ya wanaokuzunguka na zaidi utaanza kuhitaji recognition
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…