Makapuku Forum

Ukongwe ni uzee....
Kutokana na umri kusogea hapo automatic posts na likes zingekuwa nyingi maana umeanza zamani
Anyway sikuwa serious kihivyo
Kama ningekuwa napenda ku-post sana ingekuwa hivyo ... btw hii ni ID mpya baada ya kwanza kuiacha na nikawa naitumia kusoma tu bila ku-post wala ku-like chochote kwa muda mrefu tu

Usijihisi vibaya hakuna uliponikosea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…