HAPO UMENENAMasaki hamna singeli
Masaki hupati ile mishkaki ya sh 50/=
Masaki hamna kukopa kwa mangi
Masaki huwezi kumuazima jirani yako chumvi
So masaki na kwenyewe kunazingua tu kidizaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nazipitia muda huuKwanza umenikumbisha..
Naona dada yetu Jimena yu mpweke sana..
Nashusha episode 5 time hii
Una kishkwambi mkaliKishkwambi changu kinaboa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Afadhali Kishkwambi kuliko KudwiUna kishkwambi mkali
Una kishkwambi mkali kinomaAfadhali Kishkwambi kuliko Kudwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Kishkwambi ya Bitoz hiyoFiga namba moja[emoji85]
Halufu halufu Papaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] lakin usisahau vijambo vingine havina mlio Papaa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyie shenzi type
Hizi habari za jerry muro kuwa naibu wa idara ya mawasiliano ikulu,je ni kweli
Bamutu baCongoUsiku mwema bajameni, ngoja tupumzishe Mbavu kwanza.
One love[emoji111] [emoji42]
Papaa mimi choka mu lewo!!! Nasaka mbongo ku muji Papaa[emoji42]Bamutu baCongo
Ok, papa mupaoPapaa mimi choka mu lewo!!! Nasaka mbongo ku muji Papaa[emoji42]
Congratulations[emoji122] [emoji122] [emoji122]Haya nmeshatoboa top 20 most likes kama wengi mlivyokuwa mnataka.nipigieni makofi tafadhali.. maana kufika hapa inahitaji moyo sanaaa wera weraaaaaaaAAaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji23] [emoji41]
Sasa kilichobaki ni kuwatoa Ngedere na The BoxHaya nmeshatoboa top 20 most likes kama wengi mlivyokuwa mnataka.nipigieni makofi tafadhali.. maana kufika hapa inahitaji moyo sanaaa wera weraaaaaaaAAaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji23] [emoji41]
Tena hawa ndo wakongwe sugu na wenye majigambo, tunatakiwa kuwadondosha wote..Sasa kilichobaki ni kuwatoa Ngedere na The Box
............
Asenta sana, maana haikuwa kazi rahisiCongratulations[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Njoo chembaAsenta sana, maana haikuwa kazi rahisi