Leo umeme ulikatika Mabibo Beach kuanzia alfajiri hadi saa 11;30 jioni hivyo simu ilizimika kwa kukosa chaji asubuhi ndo 7bu
......................................
team makapuku mpo..dah mi nipo wadau wangu sema kipindi kifupi kijacho sitoonekana kidogo...majukumu kidogo ya kielimu yananiandama..msijali lakini tupo pamoja
JE WAJUA?
Bazilio Olara Okello wa Uganda,ndiye Rais aliyetawala kwa kifupi zaidi Duniani, aliingia madarakani tar 27---29 July 1985, hivyo alitawala siku 2 tu.