Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Jul 16, 2016 #69,341 briz said: Wikend leo wadau wako bize na familia Click to expand... Safiii
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Jul 16, 2016 #69,342 Bitoz yanga hamna kitu hata medeama Inasikitisha sana kuhusu hawa chura wa jangwani
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Jul 16, 2016 #69,343 QUIGLEY said: Wengine hatunaga cha saturday mkuu Click to expand... Sure, Hauko peke yako wakwetu.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 16, 2016 #69,344 Bitoz said: Click to expand... Hizi camera zetu hizi majanga matupu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,947 Jul 16, 2016 #69,345 shululu said: Hizi camera zetu hizi majanga matupu Click to expand...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 16, 2016 #69,346 shululu said: Mkuu vp,tupe matokeo huko taifa Click to expand... 1-1 mpira umekwisha.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 16, 2016 #69,347 briz said: Matokeo pls, yeboyebo hawajakalishwa bado huko taifa mana naskia hao jamaa wanakipiga hatari Click to expand... 1-1 mpira umekwisha na matumaini ya Yanga yamezikwa rasmi leo.
briz said: Matokeo pls, yeboyebo hawajakalishwa bado huko taifa mana naskia hao jamaa wanakipiga hatari Click to expand... 1-1 mpira umekwisha na matumaini ya Yanga yamezikwa rasmi leo.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 16, 2016 #69,348 werrason said: also known as kikofia Click to expand... alaa..kumbe sawa.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 16, 2016 #69,349 QUIGLEY said: Huwa naitakia mema yanga but hawatutoi aibu cjui kwanini, ushibiki tz wataka moyo Click to expand... wana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifa
QUIGLEY said: Huwa naitakia mema yanga but hawatutoi aibu cjui kwanini, ushibiki tz wataka moyo Click to expand... wana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifa
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 16, 2016 #69,350 eden kimario said: Bitoz yanga hamna kitu hata medeama Inasikitisha sana kuhusu hawa chura wa jangwani Click to expand... Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............
eden kimario said: Bitoz yanga hamna kitu hata medeama Inasikitisha sana kuhusu hawa chura wa jangwani Click to expand... Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 16, 2016 #69,351 shululu said: Hizi camera zetu hizi majanga matupu Click to expand... Huo mwanga wa Tv TU Camera yangu ipo swaaf kwani picha huonagi swaaf cku zote ...........
shululu said: Hizi camera zetu hizi majanga matupu Click to expand... Huo mwanga wa Tv TU Camera yangu ipo swaaf kwani picha huonagi swaaf cku zote ...........
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Jul 16, 2016 #69,352 Bitoz said: Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............ Click to expand... Hahahaaa usikwepe bitoz Huu mchezo hauitaji hasira Hata mkijitoa sasa hamna shida hii ni mbinu ya kuwakomoa waliowafunga
Bitoz said: Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............ Click to expand... Hahahaaa usikwepe bitoz Huu mchezo hauitaji hasira Hata mkijitoa sasa hamna shida hii ni mbinu ya kuwakomoa waliowafunga
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jul 16, 2016 #69,354 Bitoz said: Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............ Click to expand... Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi.
Bitoz said: Kimba ana kitu gani? Tuanzie hapo ............ Click to expand... Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 16, 2016 #69,355 eden kimario said: Hahahaaa usikwepe bitoz Huu mchezo hauitaji hasira Hata mkijitoa sasa hamna shida hii ni mbinu ya kuwakomoa waliowafunga Click to expand... Hatuna uzoefu wa kutosha Haina haja ya kujitoa....tuna timu nzuri ndo tunapata uzoefu....next season mambo yatakaa sawa ...........
eden kimario said: Hahahaaa usikwepe bitoz Huu mchezo hauitaji hasira Hata mkijitoa sasa hamna shida hii ni mbinu ya kuwakomoa waliowafunga Click to expand... Hatuna uzoefu wa kutosha Haina haja ya kujitoa....tuna timu nzuri ndo tunapata uzoefu....next season mambo yatakaa sawa ...........
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 16, 2016 #69,356 jonax said: Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi. Click to expand... .........
jonax said: Oya vunga, asije akakusikia.. sasa hv yuko chimbo nanapiga tizi. Click to expand... .........
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Jul 16, 2016 #69,357 Mussolin5 said: wana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifa Click to expand... Bado hatuna viwango vya kimataifa tz, bali zakutembelea mataifa, ufike wakati tuone aibu kujigamba
Mussolin5 said: wana timu ya kawaida kwa michuano ya kimataifa Click to expand... Bado hatuna viwango vya kimataifa tz, bali zakutembelea mataifa, ufike wakati tuone aibu kujigamba
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jul 16, 2016 #69,360 Bitoz said: ......... Click to expand... Shiiiiiiiii kimya....!