Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,303
- 68,387
Ijumaa kareemNawatakieni ijumaa njema
Ijumaa kareemNawatakieni ijumaa njema
Licongo huyo[emoji116]Shangaa tu Licongo litakutafuna sikio
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
Wajionaje na hali..Morning
Asante kwa magazeti, siku njema.View attachment 366392View attachment 366393
Asante kwa kwa wadhamini wetu ambao ni miezi 3 ya KF kwa kuwa pamoja nami katika magazeti, nami basi nakusanya kila kilicho changu ili nimuache nafasi Mussolin5
Muwe na weekend njema
T G I F
Ciao!
Thnx!!Happy and amazing Friday to all
Tayari cheki hapo[emoji4] Ok,twasubiria cye
Leo katika Historia:
1997 - Giani Versace anafariki dunia.
Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Italy, akimiliki kampuni yake ya Versace.
Kweli wakongo mnatumia mikorogo mna maneno ya shobo km waosha vyombo[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji124] ....vijino peembe mtakufa navyo vijiba ya moyo..[emoji443] [emoji445] [emoji444] ..majungu na fitina zetu kwetu ni buree....[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444]
[emoji15] [emoji15] kwa hiyo ndo unapewa mb ngapi?*104*890218794137229# hiyo hapo
Utaenda kufiga samaki beach![]()
Mimi kazi yangu kula kulala kwa sugar mummy(Mario)
Kwahiyo serikali unataka inikamate ikanilimishwe kilimo cha mipapai
Mfyuuuuuuuuuui
.....................
Bado kidogo afanane na Rambo.
Ingiza ulete mrejesho[emoji15] [emoji15] kwa hiyo ndo unapewa mb ngapi?
Leo katika Historia:
2003 - kampuni ya Mozilla Foundation inaanzishwa.
Ndio wamiliki wa Mozilla firefox.
Vocha yenyewe imeshatumika*104*890218794137229# hiyo hapo
Poa poaFresh, vp bro?
weka nyingine ya voda*104*890218794137229# hiyo hapo
Leo katika Historia:
2006 - Mtandao wa Twitter wazaliwa rasmi.
Ni moja kati ya mitandao maarufu na yenye watu wengi sana Duniani.
Sawa mzee likofia likubwaSina la ziada toka mezani kwangu, tukutane kesho hapahapa kwa udhamini mnono wa Wakongwe watafuta kick.
Hasta La Vista.