Makapuku Forum

Dadake nimeomba radhi hapo juu kuwa nimetingwa sana ndo nimeingia home 30 min zimepita
Nimeshaona usijali
Halafu Leo kuna mengi chitchat
Makabwela forum
Wakongwe forum
Hiyo inadhihirisha kuwa makapuku forum ni homa ya dengue ama nene

Sisi kimyaaaaa
 
Nimeshaona usijali
Halafu Leo kuna mengi chitchat
Makabwela forum
Wakongwe forum
Hiyo inadhihirisha kuwa makapuku forum ni homa ya dengue ama nene

Sisi kimyaaaaa
Hahahaaa nimeona wakongwe forum ni kituko, jeshi la mtu mmoja, anapost tuuu anataka afikir 100k
 
Hawawezi kufika hata 1/8 ya posts za kf, jukwaa letu limeboreka sana, na bado litaendelea kuboreka zaidi...mchana niingia kidogo nilifurahi kwani kila post ilikuwa ni quote yenye ujumbe mzito, hii ni dalili ya watu kuperezi ili kupata cha kuleta kf.
Hapa ni nondo tupu

Na kama umesoma nukuu ya Leo, nukuu moja inawagusa watu kama hao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…