Naona anakuja na majina tofauti tofauti. Mara makabwela mara wakongwe..
Mod atazifuta tu we subiri
................
Watukutu ForumDuh hii kali, KF noma... tusubiri na mengine mengi tu yaibuke
Labda after death........mkongwe kila mtu anajiona superstar so hawawezi kukaa pamoja ht kugongeana likes
.................
Gud nait jaman kapukuz wenzangu..
Acha ni"rest" likini sio "in peace"
Usiku mwema
Lol
GENTA nae
..............
Mashoga ForumNaona anakuja na majina tofauti tofauti. Mara makabwela mara wakongwe..
Sasa muda cyo mrefu watajiita watu poru
Huyo ni GENTAMYCINEkuna nyingine inajiita MAKABWELA ati..
Bwahahaaaaa, alafu patience anampa matumaini akimwambia "kila la heri mkuu"Atasubiri sanaaa
Wivuuu wanadhani wakifanya hivyo ndo uzi utakuwa hot kama wa makapuku
Cha ajabu wanaiga Idea ya mtu, kwann wasingebuni vya kwao
Huyo ni GENTAMYCINE
...............................
Thawaaaa bestWivuuu wanadhani wakifanya hivyo ndo uzi utakuwa hot kama wa makapuku
Acheni kunisemesha basi nisome hadithi
Kuna jamaa anawasapoti anajiita Fundi chupiBado
Wavua Chupi Forum
Wauza tigo forum
Tutayaona .mengi lkn mwisho tutashinda
............
kuna nyingine inajiita MAKABWELA ati..
Hao wakifeli watakuja huku, kuweka platform juu ya platform ni kazi nayoWatukutu Forum
Mashoga Forum n.k
.............
Nyingine anajiita VampireKumbe huyu jamaa ndo anatumia pia ID hiyo!
Kuna jamaa anawasapoti anajiita Fundi chupi
Nyingine anajiita Vampire
............
Hahaha 36yrs kama sijakosea ila siko sure sanaHivi huyo mwenyekiti wa mabachela ana miaka mingapi kwanza?
Maana mpk uitwe mwenyekiti wa mabachela, ujue una-experience za kutosha
Wale makapuku ambao mtakuwa mmeanza kucolify na kuuacha ukapuku mnakaribishwa sasa kwa wakongwe<br />The Name,<br />Bitoz and alike, ukapuku waachieni wengine...nyie mmesha quality sasa
Mbona yake imemshinda
............
Soma nukuu no 1 utaelewa vizuri
Cha ajabu wanaiga Idea ya mtu, kwann wasingebuni vya kwao