Makapuku Forum

NUKUU NO 1# . Siku zote lazima kutambua kwamba watu hawagombei dhana (ideas) hawapo kilichomo kichwani mwa mtu. Wanapigania mambo ya kidunia yatakayowapa raha maishani, wawe na maisha mazuri yenye amani. Wanataka kuona ustawi wa maisha yao, wawe na uhakika wa maisha ya baadaye ya watoto wao. . Haya yalisemwa na Amilcar Cabral, katika baadhi ya maandishi yake mwaka 1965. Cabral ni mwanamapinduzi wa guinea -Bissau, aliyezaliwa September 12,1924 na kuuawawa January 20,1973
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…