Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 14, 2016 #68,361 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa. Click to expand... Happy Birthday Angelique.... Namkubali sana
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa. Click to expand... Happy Birthday Angelique.... Namkubali sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 14, 2016 #68,362 Mussolin5 said: Sina la ziada toka katika maktaba yangu. Tukutane kesho hapahapa kwa udhamini mnono wa 70k. Click to expand... Swadaktaaaaa 70k Asante sana Mussolin5 sasa kaeni tayari sababu magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu
Mussolin5 said: Sina la ziada toka katika maktaba yangu. Tukutane kesho hapahapa kwa udhamini mnono wa 70k. Click to expand... Swadaktaaaaa 70k Asante sana Mussolin5 sasa kaeni tayari sababu magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 14, 2016 #68,363 GedsellianTz said: Niaje vijana, kwema humu ndani Click to expand... Kwema
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 14, 2016 #68,364 Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Szczesny na 10 kubwa sasa tuperuzi kurasa za mbele na za nyuma za magazeti ya leo
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Szczesny na 10 kubwa sasa tuperuzi kurasa za mbele na za nyuma za magazeti ya leo
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 14, 2016 #68,368 Jimena said: Hawa marais wengine wa US hata sio maarufu Click to expand... Wengine wamechaguliwa ki-best loser. Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate.
Jimena said: Hawa marais wengine wa US hata sio maarufu Click to expand... Wengine wamechaguliwa ki-best loser. Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 14, 2016 #68,371 Jimena said: Swadaktaaaaa 70k Asante sana Mussolin5 sasa kaeni tayari sababu magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu Click to expand... Ahsante!!
Jimena said: Swadaktaaaaa 70k Asante sana Mussolin5 sasa kaeni tayari sababu magazeti ya Leo yatawajia hivi punde tu Click to expand... Ahsante!!
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 14, 2016 #68,373 Mussolin5 said: Wengine wamechaguliwa ki-best loser. Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate. Click to expand... Una machungu na Ureno ww ...........
Mussolin5 said: Wengine wamechaguliwa ki-best loser. Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate. Click to expand... Una machungu na Ureno ww ...........
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Jul 14, 2016 #68,379 Bitoz said: Una machungu na Ureno ww ........... Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 14, 2016 #68,380 Kufikia hapa basi sina la ziada, shukrani zimfikie Szczesny na 10 kubwa kwa kudhamini segment hii ya magazeti, nawatakia siku njema na furaha tele
Kufikia hapa basi sina la ziada, shukrani zimfikie Szczesny na 10 kubwa kwa kudhamini segment hii ya magazeti, nawatakia siku njema na furaha tele