Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Dunia hii ukiwa mkweli sana, watakuandama sanaHata mimi
Tena nafurahi siku hizi wameacha kumzushia maana zamani walikuwa wanamfanya kama Mugabe
Dunia hii ukiwa mkweli sana, watakuandama sanaHata mimi
Tena nafurahi siku hizi wameacha kumzushia maana zamani walikuwa wanamfanya kama Mugabe
Ni kweliDunia hii ukiwa mkweli sana, watakuandama sana
Safi kabisaHabari za asubuhi familia?
Wea iz Szczesny???View attachment 366112View attachment 366113View attachment 366115
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Szczesny na 10 kubwa sasa tuperuzi kurasa za mbele na za nyuma za magazeti ya leo
Asante.View attachment 366147View attachment 366148
Kufikia hapa basi sina la ziada, shukrani zimfikie Szczesny na 10 kubwa kwa kudhamini segment hii ya magazeti, nawatakia siku njema na furaha tele
Ndio maana hakushineWengine wamechaguliwa ki-best loser.
Huyu alichaguliwa baada ya Rais Richard Nixon kujiuzulu kwa kashfa ya Watergate.
Sina la ziada toka katika maktaba yangu.
Tukutane kesho hapahapa kwa udhamini mnono wa 70k.
mbona hata 69k dabo? Sore bado???kweli, maana alitembelea nyota za watu.Ndio maana hakushine
Sisi wengine ni wazee wa longterm plans!!![]()
![]()
![]()
mbona hata 69k dabo? Sore bado???
Mbwembwe tu, yes 69k bado Ila ndo inakaribia hivyo![]()
![]()
![]()
mbona hata 69k dabo? Sore bado???
Ila kwenye 100k hapatatoshaSisi wengine ni wazee wa longterm plans!!
Ahsante kwa Mazageti bibie. Szczesny bichwa hilooooView attachment 366147View attachment 366148
Kufikia hapa basi sina la ziada, shukrani zimfikie Szczesny na 10 kubwa kwa kudhamini segment hii ya magazeti, nawatakia siku njema na furaha tele
Mi nipo gado, shukurani kwa dear God.Safi kabisa
Habari ya wewe?
Labda hawakusaidia jamii ipasavyoHawa marais wengine wa US hata sio maarufu
Hahaha sawa BanaSisi wengine ni wazee wa longterm plans!!