Namuona Carrick yuko makini sanaAngalia sura zina dalili ya mafanikio
..........
hahaha...Depay yupo? atu-prove wrong sasa
Sawa ripota wa kujitegemea...
Pte season nareport LIVE UPDATES hapa hapa km kawa na matokeo ya timu zingine
Tar 20 ni Bayern v Man City LIVE AzamTv
..................
NUKUU NO 1# Sote tunajua kwamba Africa si Ufaransa, Uingereza,Marekani au Urusi. Tunajua shabaha ya nchi za magharibi. Jana walitugawa katika ngazi makabila yetu, koo na vijiji kwa kweli wamekuwa wakirenga kutugawa kwa mbinu ya kuibua makundi ya kiuadui miongoni mwetu. Haya yalisemwa na aliyekuwa waziri mkuu wa Congo -Leopoldville(sasa jamuhuli ya kidemokrasia ya Congo DRC),Patrice Emery Lumumba, katika hotuba yake ya Agosti 25,1960, Patrice Lumumba alizaliwa Julai 2,1925 na kuuawawa January 17,1961
Bishoo lazima ayakaza la sivyo benchi linamuhusuhahaha...Depay yupo? atu-prove wrong sasa
Carrick,Wazza ni wachezaji waandamizi.......Mou anawatumia kuiunganisha timuNamuona Carrick yuko makini sana
Namkubali sana Lumumba.NUKUU NO 1# Sote tunajua kwamba Africa si Ufaransa, Uingereza,Marekani au Urusi. Tunajua shabaha ya nchi za magharibi. Jana walitugawa katika ngazi makabila yetu, koo na vijiji kwa kweli wamekuwa wakirenga kutugawa kwa mbinu ya kuibua makundi ya kiuadui miongoni mwetu. Haya yalisemwa na aliyekuwa waziri mkuu wa Congo -Leopoldville(sasa jamuhuli ya kidemokrasia ya Congo DRC),Patrice Emery Lumumba, katika hotuba yake ya Agosti 25,1960, Patrice Lumumba alizaliwa Julai 2,1925 na kuuawawa January 17,1961
NUKUU NO 2#; Inawezekana kabisa, nani kweli kwamba jogoo ndiye anayewika, lakini vile vile ni tembe (kuku jike) ndiye anayetaga mayai. Haya yalisemwa na Margaret Hilda Thatcher, aliyezaliwa Oct 13,1925 na kufariki Dunia April 8,2013. Thatcher anatajwa kama kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri uingereza akishika wadhifa wa waziri mkuu kuanzia mwaka 1979 hadi mwaka 1990 na kuweka record ya mwanamke pekee kushika wadhifa huo katika nchi hiyo yenye muunganiko wa mataifa manne. Alikuwa kiongozi wa Chama cha conservative mwaka 1975 hadi 1990. Ndiye waziri mkuu aliyekaa kwa muda mrefu zaidi uingereza
Lakini CCM wanalishusha hadhi hilo jina ........Lumumba buku 7Namkubali sana Lumumba.
I wish R.i.p could stand for " Return If Possible "
Wanamuita Iron Lady. Alikuwa ni kiongozi wa shoka sana. Alikuwa na urafiki wa karibu na Rais wa Marekani wa wakati huo, Ronald Regan.NUKUU NO 2#; Inawezekana kabisa, nani kweli kwamba jogoo ndiye anayewika, lakini vile vile ni tembe (kuku jike) ndiye anayetaga mayai. Haya yalisemwa na Margaret Hilda Thatcher, aliyezaliwa Oct 13,1925 na kufariki Dunia April 8,2013. Thatcher anatajwa kama kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri uingereza akishika wadhifa wa waziri mkuu kuanzia mwaka 1979 hadi mwaka 1990 na kuweka record ya mwanamke pekee kushika wadhifa huo katika nchi hiyo yenye muunganiko wa mataifa manne. Alikuwa kiongozi wa Chama cha conservative mwaka 1975 hadi 1990. Ndiye waziri mkuu aliyekaa kwa muda mrefu zaidi uingereza
Asante sanaKwa hisani ya Wana KF Sina la ziada tchao
Wanalishusha sana sanaLakini CCM wanalishusha hadhi hilo jina ........Lumumba buku 7
.............
Akina Genta na Lizaboni ( Eliza bonifasi ) aka buku 7 fcLakini CCM wanalishusha hadhi hilo jina ........Lumumba buku 7
.............
Maneno mazito kabisaNUKUU NO 1# Sote tunajua kwamba Africa si Ufaransa, Uingereza,Marekani au Urusi. Tunajua shabaha ya nchi za magharibi. Jana walitugawa katika ngazi makabila yetu, koo na vijiji kwa kweli wamekuwa wakirenga kutugawa kwa mbinu ya kuibua makundi ya kiuadui miongoni mwetu. Haya yalisemwa na aliyekuwa waziri mkuu wa Congo -Leopoldville(sasa jamuhuli ya kidemokrasia ya Congo DRC),Patrice Emery Lumumba, katika hotuba yake ya Agosti 25,1960, Patrice Lumumba alizaliwa Julai 2,1925 na kuuawawa January 17,1961
Mwanamke wa shokaNUKUU NO 2#; Inawezekana kabisa, nani kweli kwamba jogoo ndiye anayewika, lakini vile vile ni tembe (kuku jike) ndiye anayetaga mayai. Haya yalisemwa na Margaret Hilda Thatcher, aliyezaliwa Oct 13,1925 na kufariki Dunia April 8,2013. Thatcher anatajwa kama kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri uingereza akishika wadhifa wa waziri mkuu kuanzia mwaka 1979 hadi mwaka 1990 na kuweka record ya mwanamke pekee kushika wadhifa huo katika nchi hiyo yenye muunganiko wa mataifa manne. Alikuwa kiongozi wa Chama cha conservative mwaka 1975 hadi 1990. Ndiye waziri mkuu aliyekaa kwa muda mrefu zaidi uingereza
Asante sana ShululuKwa hisani ya Wana KF Sina la ziada tchao
Hata mi namkubali mbayaNamkubali sana Lumumba.
I wish R.i.p could stand for " Return If Possible "