Makapuku Forum

Mm nnahisi yule huenda akawa ni mke wa mtu kule
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kule United States of Andunjes (USA) ndo kamchezo kao huoni mashauzi na kurembua km jike la mbuzi linalotafuta buzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
 
1) Je wajua?
Vasco da Gama, raia wa Ureno, ndiye mpelelezi wa kwanza kufika bara la Asia mnamo mwaka 1497---1499.
Kufika kwake barani Asia kulifungua milango ya kibiashara Kati ya Asia ma Ulaya.
 
Genta siku hizi kapotea haswa...Kasi ya KF imempoteza kabisa...hana jipya popoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…