Makapuku Forum

1) He wajua?
Aliko Dangote, raia wa Nigeria alianza biashara akiwa name umri wa miaka 21. Alianza na mtaji wa $3,000 mkopo aliopewa na mjomba wake kwa ajili ya kununua na kuuza mazao nchini mwake. Biashara hiyo ilimpa ufanisi kwa kipindi kifupi na kufanikiwa kurejesha mkopo ndani ya miezi 3. Kwa sasa anamiliki utajiri wa $17 billion, zaidi ya bajeti ya serikali ya tz 2016/2017
 
Heshima kwake Dangote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…