Makapuku Forum

Leo katika Historia * Special*

Ni miezi mitatu toka Makapuku Forum ianzishwe.

Idumu sana, pongezi za pekee kwa waasisi wake na members wote.

Jamani hata party kidogo basi siku za usoni.
Na miezi hiyo ni3 haikuwa rahisi kuna watu tuliwapokea wakiwa VIKAPUKU wana viLIKE vi3 lkn leo hii wamekuwa juu na kuota pembe na kuanza kujiona mastaa na kutaka wabembelezwe ili waendelee kuwepo au warudi tena....kwa taarifa yao HATUSHOBOKEI MTU na thread haiwezi kufa kwa wao kutoshiriki labda wataanza wao na wataumia kila siku wakiingia na kuona tunaendelea kupeta
Watakufa na wivu na cuki zaovzisizo na faida kwao wala kwetu
Idumu KF milele
.............................
 
Wewe chin zao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…