2) Je wajua?
Freddie Mercury ndiye anayeongoza kwenye kundi la waimbaji wa nyakati zote duniani.
Alizaliwa Zanzibar 5september na alifariki 1991 Uingereza, na chanzo cha kifo chake ni maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWIView attachment 364277View attachment 364278View attachment 364279