R I P TataNUKUU NO 2# kwa kweli kwetu sisi uhuru wa watu kujipangia mambo yao wenyewe na kuweza kujiendeleza wenyewe katika hali zenu ni sehemu muhimu ya shabaha yetu; Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, September 1971, alipo kuwa akielezea kuhusu maendeleo ya miaka kumi ya uhuru. Nyerere alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
Kama Jimena
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kama Jimena
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]Yupo bize anajisomea leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
DP means a Display PictureNaombeni kirefu cha "DP" ya whatsap
Asante sheikhDP means a Display Picture
..........................
Ahsante sanaKwa hisani ya CR7 nawatakieni jioni njema
Alikuwa bonge la bwabwa nasikia2) Je wajua?
Freddie Mercury ndiye anayeongoza kwenye kundi la waimbaji wa nyakati zote duniani.
Alizaliwa Zanzibar 5september na alifariki 1991 Uingereza, na chanzo cha kifo chake ni maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWIView attachment 364277View attachment 364278View attachment 364279
1) Je wajua?
Ndege aina ANTONOV AN-225 ndiye ndege kubwa zaidi kuliko ndege zote ulimwenguni na ilitengenezwa nchini Ukraine..KievView attachment 364274View attachment 364275View attachment 364276
Hizo taarifa zilivuma kweliAlikuwa bonge la bwabwa nasikia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.........
Sahihi[emoji23]
Hilo dege ni shida
......................
Inasadikika mabawa yake ni marefu zaidi ya semi truck trailer za 40ft tano
Hilo dege ni shida
......................
Lisemwalo lipo....ingia chimboHizo taarifa zilivuma kweli