NUKUU NO 1# Tofauti Kati yetu sisi binadamu na aina nyingine za wanyama ni kwamba,sisi tunajua namna ya kutumia maarifa. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Madeleine Albright. Alizaliwa Mei 15,1937,ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Marekani