Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nampenda CR7 ila leo atanisamehe kwakweli ikiwa hawatafunga
Washinde kwa dakika 90 na sio mafuta
Nampenda CR7 ila leo atanisamehe kwakweli ikiwa hawatafunga
Ipi? nikumbushePapaa umeua ile boxx
Ama kweli nna dada wa Gold mieSio bebi wangu ila anapiga jaramba....
Tusubiri kwanza mvinyo ufike na ile BMW 750, sasa tutakapoenda moroco ndio status inaweza kubadilika, hivyo usiharakishe mambo
WaaachaMbona nilimwambia aende tu??
Siwezi kataza mtu kwenda temeke

So, the door is still open???Sio bebi wangu ila anapiga jaramba....
Tusubiri kwanza mvinyo ufike na ile BMW 750, sasa tutakapoenda moroco ndio status inaweza kubadilika, hivyo usiharakishe mambo

Ramsey shida nini??? Bitoz!![]()
WALES XI
..................
Ana rundo la YELLOWRamsey shida nini??? Bitoz!
Two yellow cardsRamsey shida nini??? Bitoz!
Mh!!! Hapo wana kazi, maana dogo kapiga mpira mwingi sana game zilizopita!!!Ana rundo la YELLOW
..........
Ndio ila mpaka sasa huyo ndo ana nafasi kubwa ya kushindaSo, the door is still open???![]()