Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Uko wapi?Kasoro mie
Uko wapi?Kasoro mie
Home tuUko wapi?
Bwahahahahahaaa[emoji23]Takuma AsanoView attachment 363583
Nimezani mumekunywa ile muvinyo ya siku ile akaangushaga mugari[emoji23]Hajaonekana hapa leo toka kumekucha
Jana alidai ana mwaliko kwa watu amazing sana temeke hivyo atakuwa huko
Ndo kutufungia hivyo vioo???Yuko temeke anakula mwaliko
Vya bure vinagharama yake, ukimaliza kula na kunywa sharti uanze kumsifia aliyekuwezesha, mara oooh chakula kitam balaa. Mara oooh wew ni mtu mkarimu sana.Ndo kutufungia hivyo vioo???
Msome bitoz[emoji115] ameshasemaMi nipo gheto nakunywa togwa naogopa kurogwa kwa kulishwa hayo maboga huko viwanja visivyo ht na mboga lazima niwe muoga japo nishaoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Bitoz leo karata yako wapi???
Bwahahahahahaaa[emoji23]Vya bure vinagharama yake, ukimaliza kula na kunywa sharti uanze kumsifia aliyekuwezesha, mara oooh chakula kitam balaa. Mara oooh wew ni mtu mkarimu sana.
Huwezi kula vya watu umalize na kuaga mkuu
Ukweli mtupu, papaaBwahahahahahaaa[emoji23]
Papaa umeua ile boxxBwahahahahahaaa[emoji23]
Bado hujaufika kabisa..... Ila ahadi ndo bado ipo pale paleNimezani mumekunywa ile muvinyo ya siku ile akaangushaga mugari[emoji23]
Mbona nilimwambia aende tu??Jimena hakuridhia hiyo safari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeniumbua[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mbona nilimwambia aende tu??
Siwezi kataza mtu kwenda temeke