Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
So unasinzia?Mi ntalala anytime
So unasinzia?Mi ntalala anytime
Thank youYeah i believe that, i believe you
SawaAisee, kuna rafiki yangu huyo amefeli kabisa kuacha sigara ngoja ntampa hii tiba
YeahhhhSo unasinzia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtafute ungedere labda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtafute ungedere labda
Jamani Jimena unanitoa udede, uwe na usiku mwema piaKwa hisani ya plain yogurt, chia seeds,strawberry na ndizi [emoji116] [emoji116]
View attachment 363362
Naomba niwatakie usiku mwema wapendwa
Ntakutengenezea siku moja usijali... Very health hiyo smoothJamani Jimena unanitoa udede, uwe na usiku mwema pia
Natamani na mimi niitengeneze baadae hiyo sema hizo chia seeds sasa??Kwa hisani ya plain yogurt, chia seeds,strawberry na ndizi [emoji116] [emoji116]
View attachment 363362
Naomba niwatakie usiku mwema wapendwa
Meza Valium best ili usingizi uisheYeahhhh
Kesho ntakuelekeza pa kupata,ila hata bila hizo pia itakuwa nzuriNatamani na mimi niitengeneze baadae hiyo sema hizo chia seeds sasa??
Waohhh!! naisubiria hyo siku tuNtakutengenezea siku moja usijali... Very health hiyo smooth
Poa poaKesho ntakuelekeza pa kupata,ila hata bila hizo pia itakuwa nzuri
Kwa hiyo hii njia pia nikiitumia kwenye masomo unahisi kuwa nitafanikisha adhima yangu?Hizo ni njia rahisi za kuacha tabia usiyopenda,
Hata kama ni sigara, ulevi nk
Unachotakiwa ni kuiaminisha sub conscious mind yako kuwa hupendi kile kitu kisha utajikuta polepole unaacha na ndio maana zoezi hili unatakiwa urudie rudie
Ukija tu kututembelea home utaipataWaohhh!! naisubiria hyo siku tu
Cc Szczesny
Kokote tu inaapply jonaxKwa hiyo hii njia pia nikiitumia kwenye masomo unahisi kuwa nitafanikisha adhima yangu?
Nashukuru sana [emoji120] so unanishauri njia nzuri ni ipi hapo kati ya kujirekodi au kuandika kwenye note book au kuimeza kichwani tuu?Kokote tu inaapply jonax
Dah hii si ya kukosa kabisa, na mi ndo fundi mkuu wa hizo gia za angani [emoji4] [emoji4]Ukija tu kututembelea home utaipata
[emoji3] kubadili gia angani imo
We kwako rahisi ni ipi? Tumia iliyo rahisi kuifanyaNashukuru sana [emoji120] so unanishauri njia nzuri ni ipi hapo kati ya kujirekodi au kuandika kwenye note book au kuimeza kichwani tuu?
Naona rahisi zaidi ni kujirekodi.. coz ntakuwa naisikiliza kila wakati nikiwa nmechil lonely.We kwako rahisi ni ipi? Tumia iliyo rahisi kuifanya