Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 26,003
- 96,256
Ukiamua unabadilika tu...Hahaha
Tuna tofautiana kaka
Mi ndo nature yangu
But am a very understanding person
Mtu kama haja nisoma simlaum
Uzuri ni kwamba tabia zetu binadamu zote zina uwezo wa kubadilika pindi tukiamua.....
Kitu kizuri ni kwamba unajitambua