Walienda kufuturuView attachment 363427View attachment 363428View attachment 363429
[emoji115] [emoji115] wakati muuaji anatoroka police walisafiri au??
AiseeeeWalienda kufuturu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Ndio leoLeo ndio sikukuu eeh?
Ngoja nitafute kanzuNdio leo
minahh faidhinahhEid Mubarak Makapuku
umepata mwaliko?Leo ndio sikukuu eeh?
TunashukuruView attachment 363437View attachment 363438View attachment 363439
Mpaka kufikia hapo sina la zaidi kutoka magazetini,
Nawatakia sikukuu njema, msilewe sana basi
Anazamia tu,umepata mwaliko?
Nasubiria Kama nitapata au nitazamia tuumepata mwaliko?
we tinga kanzu pta mtaani ,ukiona harufu ya maakuli unazamiaNasubiria Kama nitapata au nitazamia tu
Hapana ni SIKUKAWAIDALeo ndio sikukuu eeh?
Hajatoroka wala nn....kuna dirty gameAiseeee
Hii kashfa ni kubwa sana
Ngoja ifike mida ya saa 8we tinga kanzu pta mtaani ,ukiona harufu ya maakuli unazamia
Wewe kaa ndani tu. Leo lazima nitafute mnusoHapana ni SIKUKAWAIDA
Vaa tu yeboyebo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Acha uroho ww utalishwa pilau la nnya na pilipili poriWewe kaa ndani tu. Leo lazima nitafute mnuso