briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Fina fundi sana, enzi zile ndo ilikua PB hasaMi nilikuwa napenda enzi ya Fina maembe
Fina fundi sana, enzi zile ndo ilikua PB hasaMi nilikuwa napenda enzi ya Fina maembe
Aisee, umehamia airtel sio.. sawa kabisaMi naskilza Efm Clouds walivo hama kina hando ndo hata sababu ya kiuongo ya kusikilza nika kosa
Alikuwepo asubuhi japo kipindi sikumbuki kilikuwa kinaitwajeSi mjuiii huyooo
Sana tuHaaha
Aaah kdogo
Hivi kumbe jina ni hilo hilo eeh??? Sikuwa nakumbuka jina aiseeFina fundi sana, enzi zile ndo ilikua PB hasa
AaahAlikuwepo asubuhi japo kipindi sikumbuki kilikuwa kinaitwaje
Fina Mango alikuwa na sauti nzuri
Soda ya 200???Aaah
Kina fina mango watangazaji wa zaman hao kipind soda sh 200
Hata nlikuwa sija kuja mjini
Sauti anayo kwa kweliAlikuwepo asubuhi japo kipindi sikumbuki kilikuwa kinaitwaje
Fina Mango alikuwa na sauti nzuri
Kumbe bado mtangazaji???![]()
Huyo hapo
HahahahaSoda ya 200???
Hiyo labda ile coca sista P
Uliwah msikiiza huyu!!?![]()
Huyo hapo
Hahaha soda 200/= haikuwa zaman sana lakinAaah
Kina fina mango watangazaji wa zaman hao kipind soda sh 200
Hata nlikuwa sija kuja mjini
Fina atakuwa makamo ya shangazi (komando) ila wana udongo mzuriiiiHahahaha
Kwani soda mbona mkapa kaacha hata 500 haija fika
Hawa kina fina vikongwe hawa
NdioKumbe bado mtangazaji???
Yeye alikuwa anakaa asubuhi kisha mchana anakaa Amina Chifupa wa Mpakanjia (R I P)Uliwah msikiiza huyu!!?
Haha mbona Fina bado mbichi kabisaHahahaha
Kwani soda mbona mkapa kaacha hata 500 haija fika
Hawa kina fina vikongwe hawa
Sana yaniiSauti anayo kwa kweli
AnhaaaFina atakuwa makamo ya shangazi (komando) ila wana udongo mzuriiii
Ndio, sana tuUliwah msikiiza huyu!!?