Katisha sana, anafukunyua hatari..Ndio umejua hivyo,
Chezea mzee wa 10 kubwa
Hata zaidiHao ni vikongwe kama jide badha kasha gonga 40
Duh hatari sanaIpo hyo
Babu mzunguu kabeba toto ya kiafrika
HahahahaNdio umejua hivyo,
Chezea mzee wa 10 kubwa
Hawa ni manguli kwenye hii tasnia, kwanza redio one ndo ilikua kisima cha kukuzia vipaji vya mapresenter wengi wamepitia paleMimi hata siku mjuaaa kabsa nilikuwa naskilzaga redio 1 kina Marehemu Moses justin (RIP)
Charls Hillary
Dr Misanya Bingi
Asia Mohamed
Rose Chitara
Abdallah Mwaipaya
Regina Mwalekwa
Aaaaah Mengi alikuwa na kikosi asee
HahahahaKatisha sana, anafukunyua hatari..
A
Kumbe Moses alifariki?? (R I P) mi kote aisee...Mimi hata siku mjuaaa kabsa nilikuwa naskilzaga redio 1 kina Marehemu Moses justin (RIP)
Charls Hillary
Dr Misanya Bingi
Asia Mohamed
Rose Chitara
Abdallah Mwaipaya
Regina Mwalekwa
Aaaaah Mengi alikuwa na kikosi asee
Ha ha ha ha haKuna siku nilimskia redio flan aliulizwa umri na ye akamwambia jamaa 'utamuulizaje mtoto wa kike umri' haha
Huyu rose chitara yupo e fm nadhaniMimi hata siku mjuaaa kabsa nilikuwa naskilzaga redio 1 kina Marehemu Moses justin (RIP)
Charls Hillary
Dr Misanya Bingi
Asia Mohamed
Rose Chitara
Abdallah Mwaipaya
Regina Mwalekwa
Aaaaah Mengi alikuwa na kikosi asee
Aseee Mengi ndo chuo nakwambia kaka mkuuHawa ni manguli kwenye hii tasnia, kwanza redio one ndo ilikua kisima cha kukuzia vipaji vya mapresenter wengi wamepitia pale
Kwenda wapi mbona bado yupoMagic siyo alikwisha ondoka!!?
Wacha we! Hyo tuA
And only A
Ntakagua labda vipind vya weekend ila simsikiag kwa kweli weekdaysHuyu rose chitara yupo e fm nadhani
Itakuwa safi sanaaHahahaha
Ntaileta hapa hiyo kwenye 10 nene
HahahahaKumbe Moses alifariki?? (R I P) mi kote aisee...
Kiukweli Mengi alitisha sana...
Rose Chitala kwenye chombeza time bila kumsahau Aboubakar Sadiq
Tusimsahau na Flora Nducha jamaniHawa ni manguli kwenye hii tasnia, kwanza redio one ndo ilikua kisima cha kukuzia vipaji vya mapresenter wengi wamepitia pale
Watu maarufu walioenda kutafyta malisho kwa ancestors waoItakuwa safi sanaa