Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dah nimecheka kwanguvu balaa
Ni kweli,
mi nimepiga hesabu naanza kumsikia niko shule ye na JD washamaliza shule na wanatangaza.....
Sasa mi mwenyewe najiona nazeeka wao tusemeje??
 
Tunamtakia maisha mema....... Sauti yake tutaikumbuka daima
Mimi hata siku mjuaaa kabsa nilikuwa naskilzaga redio 1 kina Marehemu Moses justin (RIP)
Charls Hillary
Dr Misanya Bingi
Asia Mohamed
Rose Chitara
Abdallah Mwaipaya
Regina Mwalekwa
Aaaaah Mengi alikuwa na kikosi asee
 
Back
Top Bottom