Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Ngoja niwasiliane na TCRA wazime hiyo simu sasa hiviHahahaha labda chaji initende nami nataka kuvunja rekodi ya #7000

Ngoja niwasiliane na TCRA wazime hiyo simu sasa hiviHahahaha labda chaji initende nami nataka kuvunja rekodi ya #7000

NitakushtuaTwende zetu tukajiekotite mwanaume wa Dar na mwanamke wa Dar tukawaringishie.....![]()
![]()
![]()
![]()
uzee mwisho sitting room................... (malizia)
chumbani kila mtu bebi. .

Mbona umeiongea kiuoga hivyoooo Nina wifi humuuu? Mwambie mie sista ako wa damu....Nitakushtua
.......................
Ai weweeeeee!!!!!!.....ila hii mchina TCRA hawaioniNgoja niwasiliane na TCRA wazime hiyo simu sasa hivi![]()

Naenda kuwaambiaAi weweeeeee!!!!!!.....ila hii mchina TCRA hawaioni![]()
![]()
![]()

Upendo hauna kigezo cha umri.Na uzee wote huu sijui kaa ntapendwa tena
Na uzee wote huu sijui kaa ntapendwa tena
Chumbani kila mtu bebii.uzee mwisho sitting room...................
Ha ha ha
Katibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Umekuwa adimu mno huku kila kitu shwari vijana wanalisongesha na spidi yao usipimeHa ha ha
Kwema lakini mkuu??