Makapuku Forum

4)je wajua?
Mwamama Emma Morano ndiye mwanamke anayeongoza kwa umri mkubwa anayeushi na alizaliwa 1899 Nov 29, kwa sasa ana miaka 116.
Ni raia wa Italy
Afu usikute hizi ni record za wazungu tu huenda hawafiki mpaka huku afrika interior, nliwah kuskia hivi majuzi kuna bibi huko kenya amegonga 130yrs
 
Sasa speaking of sikukuu kama kesho hivi najua lazma watu hupenda kwenda kupumzika sehem mbali mbali, among them ni Gardens yaan kwenye mabustan mbali mbali
Sidhani kama tanzania tuna utamaduni huo, infact nahis tuna bustan mbovu kuliko zote dunian

So leo tuna cheki bustani kumi bora duniani yaan kwa ki english ni
10 of World’s Most Beautiful Gardens

Karibu

Szczesny Carrenza nasukuma pindi hili hapa
Asa kumbe niniii
 
Number 10, Mirabell Gardens, Salzburg, Austria
Eeeh hii ili tengenezwa mwaka 1606 japo ilifanyiwa matengenezo mwaka na Prince-Archbishop Wolf Dietrich von Raitenau na ilifanyiwa markebisho madogo mwaka 1690
Hayo majengo mengine yalijengwa mwaka 1704 hadi 1718
Kwa wale wanaifaham fikamu bira kabisa ya "Sounds of Music" hapo ndo pale Maria ana kimbia na watoto wa kapten Von Trapp
 
Number 9 Royal Botanic Gardens, Melbourne, Australia ibakafiruwa watu zaid ya milioni moja na nusu hutembelea bustani hii huko Melbourne na imegewanywa sehem ya watoto, sehemu ya yoga, sehem ya uchunguzi na sehem za matembezi ya kawaida iko karibu na mto Yara na ina kadiriwa kufikia ekari 100 hivi
 
 
Eheee
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…