manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Salama kabisa mkuu...habari ya kwako ndugu?Manuu habari
Salama kabisa mkuu...habari ya kwako ndugu?Manuu habari
Kaka vp? Naona mlipotea kwa pamoja na sukari ya Magumi kile kidude cha LIKE sikioni!!!!
Tupo poa sana mkuu...Shemeji yako yuko mazoezi sasa hvi akimaliza tu utamuona hapa...Habari ya kwako lakin?manuu inakuaje? Umemficha wap dadangu amaizing huwa hakosi asubuhi hapa imekuaje tena?
Haha ameanza yoga asubuh, anarekebisha kidogo shepu? Hongera zake... Mi niko poa broTupo poa sana mkuu...Shemeji yako yuko mazoezi sasa hvi akimaliza tu utamuona hapa...Habari ya kwako lakin?
kuna ki-clip cha whatsap kilisambaa jana mdada tinginya akifanya mazoezi ya kukimbia na maji kwenye chupa kubwa ya uhai...vipi ndo shemeji huyo katika ubora wake?Tupo poa sana mkuu...Shemeji yako yuko mazoezi sasa hvi akimaliza tu utamuona hapa...Habari ya kwako lakin?
Umeanza zile shida zako kijana..hahahaha nafurahi kama uko poa ndugu..Haha ameanza yoga asubuh, anarekebisha kidogo shepu? Hongera zake... Mi niko poa bro
aiss umemtaja Mungu hapa nikakumbuka mjadala ulioibuka church jamaa akitaka kujua kama Mungu ni ME au KEMungu ni mwema kabisa hachoki kutupigania
Hahahahah hapana mkuu shemeji yupo fit sana na sasa yeye anafanya martial arts..ni shida sana...kuna ki-clip cha whatsap kilisambaa jana mdada tinginya akifanya mazoezi ya kukimbia na maji kwenye chupa kubwa ya uhai...vipi ndo shemeji huyo katika ubora wake?
Mhh na we ulikua upande gan hapo?aiss umemtaja Mungu hapa nikakumbuka mjadala ulioibuka church jamaa akitaka kujua kama Mungu ni ME au KE
Hapana mjadala kama huu ni ngumu sana kuibuka church kwa watu waaminio...ila vijiweni hapo sawa ama kwenye mihadhara yawezekana..aiss umemtaja Mungu hapa nikakumbuka mjadala ulioibuka church jamaa akitaka kujua kama Mungu ni ME au KE
Hahahaha mwachilie akuje bana nmemmis ati[emoji4] [emoji4] [emoji4]Umeanza zile shida zako kijana..hahahaha nafurahi kama uko poa ndugu..
Ni kweli bro, kijiweni majibu yote ya maswali magumu yanapatikanaHapana mjadala kama huu ni ngumu sana kuibuka church kwa watu waaminio...ila vijiweni hapo sawa ama kwenye mihadhara yawezekana..
Weka mbali na wakongweInabidi tuingie kwenye vitabu vya Guinness
Sikumbuki[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata ya entebe jimana hujawahi skia?
Hapo chachami kile kidude cha LIKE sikioni!!!!
Mi pia....ile mikwara kwa wajukuu wa Hitler
Na kwako piaNimepita kuwatembezea UPENDO!
Wazima sana sijui weweNi matumaini yangu mko vizuri bandugu