Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality. Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
Dah... hii JF yenu?? Mbona mwenyewe kaweka wazi kabisa kuwa ni The home of GTs bana 🙂
 
53c67edafed5a069602af3c9230c18cf.jpg
 
Back
Top Bottom