Karibu, blue monday inakwendaje?Nimepita kuwatembezea UPENDO!
Morning to u jimenaMorning family
Dzaini km imekaa poa Sana'a sku nzr tamu inafaa kujrudiaa tenaa[emoji106]Karibu, blue monday inakwendaje?
[emoji106] Asante kwa chakulaView attachment 362732View attachment 362733
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa timu ya Taifa ya ufaransa, sina la ziada kutoka magazetini.....
Nawatakia wiki njema na mfanye kazi kwa bidii ili heshima iwepo mjini
Safi kabisa, hii siku ikakaa vizuri bas wiki nzima inakua poaDzaini km imekaa poa Sana'a sku nzr tamu inafaa kujrudiaa tenaa[emoji106]
Mambo sio mabaya mkuu.Karibu, blue monday inakwendaje?
Hii ilikuwa kaliLeo katika Historia:
1976 - Makomandoo wa Jeshi la Israel wanafanikiwa kuwaokoa mateka wa Israel waliokuwa wametekwa na Wapalestina baada ndege waliyokuwa wamepanda kutekwa na kupelekwa Entebbe Uganda kwa Idi Amin.
Katika Operesheni hiyo maarufu kama " Operetion Entebbe " Makomando hao walifanikiwa kuokoa mateka wao kwa muda wa dakika 90 bila vyombo vya usalama vya Uganda kufahamu.
Aaaah....wik ndef briz naa mamb ni meng yanapitaa ngojaa tuomb mungu tu.......[emoji39] [emoji39] [emoji39]Safi kabisa, hii siku ikakaa vizuri bas wiki nzima inakua poa
KweliLeo katika Historia:
1776 - Leo ni siku ya Uhuru wa Marekani.
Hongera kwa magazeti, nalaani mauaji hayoMpaka hapo sina cha ziada, tukutane tena kesho hapahapa ukumbuni kwetu kwa hisani ya Kichwa cha Mtu huko Mbeya.
Sio magazeti ni historiaHongera kwa magazeti, nalaani mauaji hayo
Hata ya entebe jimana hujawahi skia?Ila leo umenikomesha jamani
Hakuna niliewahi kumsikia hata mmoja[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Udhamini wako nao ni kesi
Mungu ni mwema kabisa hachoki kutupiganiaAaaah....wik ndef briz naa mamb ni meng yanapitaa ngojaa tuomb mungu tu.......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Manuu habariMorning dada?
Chanzo cha kifo nini?Kamanda wa operation hiyo Yonatan Netanyahu aliuwawa. Huyu ni mdogo wa Waziri Mkuu wa sasa wa Israel, Benjamin Netanyahu
Kama hutojali tuwekee picha yake.
Tuwekee ilii evdence ikaee poaaaChanzo cha kifo nini?