42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 825
Sawa kapuku![]()
"RONALDO AIPELEKA URENO ROBO FAINALI"
Magazeti ya Bongo upuuzi mwingi hivi wanadikiri wasomaji wao ni maandazi na tunaishi vijijini.....Yanaboa
Ujinga mtupu wkt ni NUSU FINAL na mechi yenyewe alifulia
Wapunguze kutulisha matikiti pori ht km yanauzwa JERO
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
.,..............