Makapuku Forum

Ndio maana ake. Hayo makundi yana nguvu kuliko Serikali. Rejea hata kifo cha JFK, alipishana na Mafia mob kuhusu Cuba.
Hilo ni tatizo kubwa sana

Mi huwa napenda culture yao natamani siku moja niende vacation halafu nikiwa room nisikie music kwa mbaliii nikichungulia dirishani nikute kumbe nimeletewa band inaniimbia yani siku hiyo... Sitalala kwa furaha
Lakini tatizo amani hawana ya kutosha
 
Usifohu hutadhurika, ukatembee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…