Mzuriii(1) Je wajua?
BORDER COLLIE ni mbwa mwenye akili, utii na anayefundishika kwa urahisi kuliko aina ya mbwa wengine duniani.
Aina ya mbwa hawa walifundishwa kuchunga kondoo mpakani mwa Scotland na England kwenye mpaka wa Hilly. Pia hutumika kulinda/ kuchunga mashamba na ranchi.View attachment 361977View attachment 361978View attachment 361979View attachment 361981
Bitoz ongezea mapichapicha
Ni mzuri kweli(3) JE WAJUA?
Selena Gomez wa USA ndiye msichana anayeshikilia rekodi ya mwanamke mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2016View attachment 361993
Hii nayo sasa[emoji3] [emoji3] [emoji3](5) Je wajua?
Makupuku forum ndio uzi wenye posts nyingi kuliko uzi wowote jf na unaoshikilia rekodi ya likes, jimena ndiye ke anayeongoza na bitoz ndiye me anayeongoza kwa likes jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Kweli kabisaInabidi tuingie kwenye vitabu vya Guinness
Ngoja lifikeCc jimena
Cant wait... Litafika na ile wine au??Nimeliagiza hilo liko njiani
Yani hawa waliachana mara tu baada yakufunga ndoaNumber 10, ndoa iliyo dumu kwa sekunde kadhaa
Hii ilikuwa dubai mwaka 2012, ambapo bwana harusi ndugu
Abdul Salam baada tu ya kumaliza kufunga harusi msikitini aliondoka na kuelekea mahakama ya kadhi huko moja kwa moja , akidai baba wa bibi harusi ame mwambia bibi huyo hata acha kazi na wao walikubaliana aache kazi
Mwanaume alikuwa kichecheNumber 9, Mario Lopez na Ali Landry
Mwaka 2004 wakati waki toka honeymoon mastaa hao, walihojiwa kwenye televisheni na mario katika kunogesha kipindi aka dai alilala na mwana mke mwingine mpaka siku moja kabla ya harusi
Bibie Ali alivo skia hvo alitoka na ndani ya wiki moja walikuwa washa achana
Ndoa ilidumu wiki 2 tuu
Sasa hiv wako wap, mi sjui!!!
[emoji106]Ikicika SAA 3:50,me naanza kazi yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Wapenda doogii???Mzuriii
Rekodi mpyaaa toka makapukuuHii nayo sasa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uko on time balaa
BELGIUM XI
.........