Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Leo katika Historia:
1966 - Matangazo ya kwanza ya rangi katika Televisheni yarushwa rasmi hukoToronto Canada.
Leo katika Historia:
1979 - Kampuni ya SONY ya Japan yazindua Walkman ya kwanza Duniani.
Walkman ni radio ndogo za mkononi unazoweka kanda na kusikiliza mziki.
Leo katika Historia:
1976 - Patrick Kluivert mwanasoka mahiri kutoka Uholanzi azaliwa.
Enzi za landlineLeo katika Historia:
1881 - Simu ya Kwanza ya kimataifa yapigwa toka Canada kwenda Marekani.
Leo katika Historia:
1976 - Ruud Van Nistelrooy mshambuliaji wa zamani wa Man Utd na Uholanzi amezaliwa siku kama ya leo.
Morning to u 2Morning all
Morning kwako piaMorning morning mkubwa...
Morning to u dadakeMorning all
Leo katika Historia:
1961 - Princess Diana aliyekuwa mke wa mtoto wa Malkia nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebaki kuwa tata mpaka leo.
Bitoz unatshaa kw historia leoo o-level history ulipata ngapii aise
Leo katika Historia:
2002 - Mahakama ya kimataifa ya ICC yaanzishwa rasmi kwa ajili ya kuwahukumu viongozi wanaotenda makosa ya kihalifu wanapokuwa madarakani.
Kazi murwaaa [emoji112] [emoji112] [emoji112]View attachment 361800View attachment 361801View attachment 361802
Kutoka kwenye magazeti sina la ziada.... Shukrani za dhati ziwafikie makapuku wote kwa kuyasoma magazeti haya..
Na shukrani pia kwa mdhamini wetu ambae ni CR7
Ciao!!!
Leo umenitoa jashoKufikia hapo sina la ziada, Leo katika Historia imeletwa kwenu kwa Udhamini mzito wa Tundu Lissu.
Njema mtu mzima musolin5Za asubuhi wakuu...