Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Ustaadhi mavitavitaJamaa waliwahi kupata uhuru kabla yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Ustaadhi mavitavitaJamaa waliwahi kupata uhuru kabla yetu
hahaha....relaxLeo umenitoa jasho
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
............
Alikuwa very beautifulLeo katika Historia:
1961 - Princess Diana aliyekuwa mke wa mtoto wa Malkia nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebaki kuwa tata mpaka leo.
poa kabisa niaje?Njema mtu mzima musolin5
Kazi yako njema, siku njemaKufikia hapo sina la ziada, Leo katika Historia imeletwa kwenu kwa Udhamini mzito wa Tundu Lissu.
Wazee kucall ulikuwa tabuAhsante hiki ni kipindi kabla ya mambo ya Disc man na baadae Ipod
teh teh tehBuni chako cha kuleta sio kuiga
...............
Asante sana. .. Siku ya leo imeshiba mno kwenye historiaKufikia hapo sina la ziada, Leo katika Historia imeletwa kwenu kwa Udhamini mzito wa Tundu Lissu.
Ila kutangulia sio kufika...Kumbe wakongwe
Lol
kabisa haswa Rwanda na Burundi ni kama kulwa na dottoKimsingi hawa ni kama ndugu
Siki hizi digitali zaidi unapangusa tuNazikumbuka hizi
Sijui zimepotelea wapi siku hizi
sana...Alikuwa very beautiful
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Kazi murwaaa [emoji112] [emoji112] [emoji112]
ahsanteKazi yako njema, siku njema
Hata hivyo umepambana kiumeLeo umenitoa jasho
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
............
Ni kweli kabisa hata mimi huwa nawaona hivyoNkwame na Nyerere wanafanana kwa mbaali
Ni kweli hizo ndio habari za kiintelijensia kwavile alikuwa anadate muarabu na alikuwa na kizygoteTetesi zinasema aliuwawa na Royal family
Ndio ni mapacha na Somalia ni dada/kaka yaokabisa haswa Rwanda na Burundi ni kama kulwa na dotto